EBOOK
Secure
Reliable
Easy
KUANZA KATIKA ROHO, KUMALIZIA KATIKA MWILI?
By Mwl Joshua D.M
EBOOK
English
TZS 10,000
In StockSelect Quantity
Instant access to our digital reader after payment.
<strong>KUANZA KATIKA ROHO, KUMALIZIA KATIKA MWILI?<strong>
Kitabu hiki ni mwaliko wa kujichunguza kiroho kupitia onyo la Mtume Paulo katika Wagalatia 3:3: “Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili?”
Kwa kina na kwa mtazamo wa Kibiblia, mwandishi anaonesha hatari ya mwamini kuanza kwa kumtegemea Kristo, lakini baadaye kuhamisha utegemezi wake kwenda kwenye uwezo, uzoefu, elimu, mbinu na mafanikio ya kibinadamu. Kitabu kinatusaidia kutambua dalili za hali hii na kutukumbusha kwamba maisha ya wokovu huanza katika Kristo, huendelea katika Kristo, na hukamilishwa katika Kristo kwa uongozi wa Roho Mtakatifu.
Ni kitabu kwa kila mwamini, mtumishi na kiongozi wa Kanisa anayetamani si tu kuanza katika Roho, bali kuendelea katika Roho na kumtegemea Kristo hadi mwisho.
Product Type
Ebook
Language
English
Author
Mwl Joshua D.M
Publisher
FaithHub Africa
Language
English / Swahili
You May Also Like
Discover more spiritual wisdom from our collection.